Mshambuliaji hatari wa Yanga Jerrson Tegete ametamba kuwa kesho lazima atatoa furaha kwa mashabiki wa Yanga atakapomfunga kipa Juma Kaseja wa Simba zitakapokutana kwenye mchezo wa fainali Uwanja wa Taifa saa 10 Alasiri.
Wakati Tegete anatoa tambo hizo, Mussa Hassan Mgosi wa Simba nae ametamba kuwa kikosi chao kiko tayari kwa ushindi dhidi ya Yanga
No comments:
Post a Comment